Mwendokasi hali ni mbaya

Mungu anisamehe nauchukia huo usafiri.. Umenitesa sana
 
tanzania bhana eti biashara au mradi wa mwendokasi unakufa kisa umezidiwa na wateja wengi ajabu..wakati uwingi wa abiria ndio fursa ya kuvuna mamilioni kama faida toka kwa wateja kiasi mradi ungeweza kujinunulia mabasi yake mapya wenyewe kwa faida itakayovuna..ila ndio hivyo vilaza wamekaa tu ofisini hawana mbinu wala mikakati ya biashara zaidi ya kuhesabu tarehe mwisho wa mwezi wapokee mshahara..ni ajabu la dunia biashara kufa kisa imezidiwa na wateja duuh hivi hawaoni aibu hao maboss wa huo mradi sijui wameajiriwa kwa kazi ipi zaidi ya hayo mabasi.!
 
Back Magufuli
 
Nchi hili limekuwa ugoro sana! Sikutegemea kama huyo mama atakuwa nyanya kiasi hiki!
 
Wanaiba hela bwana!
 
Mbuzi ni yule uliemuacha kwako! Narudia Tafuta hela huwezi kusema una hela ukae kuanzia saa 10 ukisubiri mwendo kasi mjazane kama kuku kwenye tenga
Wewe ni kenge hapo kariakoo watu wana pesa na wanakaa mbezi na wanapanda mwendokasi sio kila Tajiri anapanda boda boda jichanganye uzani kila mtu kwenye mwendokasi maskini
 
Huyu mama huwa anapita humu mara moja moja si aniteue hata mimi kwa mwaka mmoja tu, watu wakalimie meno pale aone tutafanya nini! Mradi huu una sifa zote za kujiendesha na chenji inabaki!
 
Wewe ni kenge hapo kariakoo watu wana pesa na wanakaa mbezi na wanapanda mwendokasi sio kila Tajiri anapanda boda boda jichanganye uzani kila mtu kwenye mwendokasi maskini
Ni kweli mkuu! Kuna watu wengi sana nawafahamu pale Kariakoo na wengine ni jamaa zangu wana biashara zao kubwa tu na hela wanazo kama uchafu lakini huyooo unamkuta kwenye Mwendokasi. Ni usafiri mzuri sana sema mipuuzi ya CCM imeshindwa kuusimamia!
 
Dar ni daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…