Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Usitegemee ufanisi kwenye jambo lolote chini ya CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anisamehe nauchukia huo usafiri.. Umenitesa sanaKama kuna abiria aliyetoka na treni ya saa kumi namoja jioni kwenda moro kashafika na kaoga kapumzika huwezi amini hapa kivukoni watu wapo tokea saa 10 hamna magari
Yaani abiria wa moro kafika na kashalala mtu wa kimara haelewi hadi sasa ataondoka saa ngapi
sijui Serikali mna mpango gani na huu usafiri mnajinadi kila siku mmefanya makubwa mbona hali tete sana huku
Asante sana kwa hii commentUsitegemee ufanisi kwenye jambo lolote chini ya CCM.
Kwani huko alikokuwa akisubiri usafiri alienda kuuza ma nanihii ya babako? Mna kauli za kiduanzi sana!Tafuta hela
Back MagufuliKama kuna abiria aliyetoka na treni ya saa kumi namoja jioni kwenda moro kashafika na kaoga kapumzika huwezi amini hapa kivukoni watu wapo tokea saa 10 hamna magari
Yaani abiria wa moro kafika na kashalala mtu wa kimara haelewi hadi sasa ataondoka saa ngapi
sijui Serikali mna mpango gani na huu usafiri mnajinadi kila siku mmefanya makubwa mbona hali tete sana huku
Kuna mtu amenipa fununu hii jana huko Rufiji, inawezekana sana kwa Tz yetu.Lengo lao wauze mradi kwa watu wao, haya mateso ni kujaribu kushawishi wananchi
Ko dada saiv unaendesha ndinga yako? Hongera!Asante Mungu kunipumzisha na mateso haya ya hayo magari
Mida kama hii naambaa kwenye Panton huku nikiwaza foleni ya mwendokasi hapo Kivukoni.
Nchi hili limekuwa ugoro sana! Sikutegemea kama huyo mama atakuwa nyanya kiasi hiki!Kama kuna abiria aliyetoka na treni ya saa kumi namoja jioni kwenda moro kashafika na kaoga kapumzika huwezi amini hapa kivukoni watu wapo tokea saa 10 hamna magari
Yaani abiria wa moro kafika na kashalala mtu wa kimara haelewi hadi sasa ataondoka saa ngapi
sijui Serikali mna mpango gani na huu usafiri mnajinadi kila siku mmefanya makubwa mbona hali tete sana huku
Wanaiba hela bwana!tanzania bhana eti biashara au mradi wa mwendokasi unakufa kisa umezidiwa na wateja wengi ajabu..wakati uwingi wa abiria ndio fursa ya kuvuna mamilioni kama faida toka kwa wateja kiasi mradi ungeweza kujinunulia mabasi yake mapya wenyewe kwa faida itakayovuna..ila ndio hivyo vilaza wamekaa tu ofisini hawana mbinu wala mikakati ya biashara zaidi ya kuhesabu tarehe mwisho wa mwezi wapokee mshahara..ni ajabu la dunia biashara kufa kisa imezidiwa na wateja duuh hivi hawaoni aibu hao maboss wa huo mradi sijui wameajiriwa kwa kazi ipi zaidi ya hayo mabasi.!
Wewe ni kenge hapo kariakoo watu wana pesa na wanakaa mbezi na wanapanda mwendokasi sio kila Tajiri anapanda boda boda jichanganye uzani kila mtu kwenye mwendokasi maskiniMbuzi ni yule uliemuacha kwako! Narudia Tafuta hela huwezi kusema una hela ukae kuanzia saa 10 ukisubiri mwendo kasi mjazane kama kuku kwenye tenga
Ukawaamini?Si walisema wameleta scania marcopolo g7??
Ni kweli mkuu! Kuna watu wengi sana nawafahamu pale Kariakoo na wengine ni jamaa zangu wana biashara zao kubwa tu na hela wanazo kama uchafu lakini huyooo unamkuta kwenye Mwendokasi. Ni usafiri mzuri sana sema mipuuzi ya CCM imeshindwa kuusimamia!Wewe ni kenge hapo kariakoo watu wana pesa na wanakaa mbezi na wanapanda mwendokasi sio kila Tajiri anapanda boda boda jichanganye uzani kila mtu kwenye mwendokasi maskini
Nipo mkoani mdogo wanguKo dada saiv unaendesha ndinga yako? Hongera!
Dar ni daaahKama kuna abiria aliyetoka na treni ya saa kumi namoja jioni kwenda moro kashafika na kaoga kapumzika huwezi amini hapa kivukoni watu wapo tokea saa 10 hamna magari