Mwendokasi hali ni mbaya

Ni kweli mkuu! Kuna watu wengi sana nawafahamu pale Kariakoo na wengine ni jamaa zangu wana biashara zao kubwa tu na hela wanazo kama uchafu lakini huyooo unamkuta kwenye Mwendokasi. Ni usafiri mzuri sana sema mipuuzi ya CCM imeshindwa kuusimamia!
True kaka mimi mwenyewe nawajua kama jirani yangu ana maduka mawili ya nguo yule ni bilionea ana pesa vibaya ila kila jioni na mkewe utawaona wanasubiri mwendokasi za mbezi hawana makuu na boda hawataki hata kuziskia maajali
 
Mpaka leo hayo mabasi mapya hayajafika tu
 
Hii ni taarifa au maoni binafsi?
#################

Sio kila jambo ni suala la kisiasa.
 
Tulia michezo tu... shirika linatengenezewa mazingira ya kufiliska ili watu wapite nalo... walewale😄😄
 
Ila root ya Mbezi-Gerezani Mbezi-Kivukoni ni taabu tupu watu ebu watu wa huko mtafute kazi na makazi maeneo ya hukohuko kha! Monday to Sunday watu ni kujazana hadi kuvunja milango kha🙌
 
Aisee ni noma sana. Mpaka sasa 20:50 niko kituoni Posta Ya Zamani na nimeingia 19:15. Huu ungese umezidi kiwango
 
Hii ngozi nyeusi ni shida. Imagine mradi unakufa kisa kuzidiwa na wateja. Scandinavia, Japan, Germany au kwingineko ko kote itakuwa kashfa ya Karne. Huku kwetu it is OK as long as watu wanakula kulingana na urefu wa kamba zao.

Unakuta jitu boya limekaa pale halafu linakwambia eti "kaa pembeni sina chenji". Yaani unatamani ulirukie ulirarue lakini unashindwa. Are we a failed state or just a shithole country/people/race?🚮
 
Kila mara huwa nasema hapa Jamvini,
Kusuasua kwa mradi huu wa Mwendokasi ni ISHARA ya uwezo mdogo wa sehemu kubwa ya Viongozi wetu Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…