LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
- Thread starter
- #41
True kaka mimi mwenyewe nawajua kama jirani yangu ana maduka mawili ya nguo yule ni bilionea ana pesa vibaya ila kila jioni na mkewe utawaona wanasubiri mwendokasi za mbezi hawana makuu na boda hawataki hata kuziskia maajaliNi kweli mkuu! Kuna watu wengi sana nawafahamu pale Kariakoo na wengine ni jamaa zangu wana biashara zao kubwa tu na hela wanazo kama uchafu lakini huyooo unamkuta kwenye Mwendokasi. Ni usafiri mzuri sana sema mipuuzi ya CCM imeshindwa kuusimamia!