Anakula AC huku akichungulia nje abiria wanavopigana vikumbo kuingia.Huku akisema moyoni daah kuna watu wanashida hii DSM si warudi vijijini ona wanavobanana kama kuku kwenye tenga..wanashindwa kununua hata ka Passo, Ist..
Inasikitisha sana mkuu, huwa nikitumia huo usafiri naiwazia sana hii nchi. Huenda muda wetu wa kuwa civilised haujafika.Hii ngozi nyeusi ni shida. Imagine mradi unakufa kisa kuzidiwa na wateja. Scandinavia, Japan, Germany au kwingineko ko kote itakuwa kashfa ya Karne. Huku kwetu it is OK as long as watu wanakula kulingana na urefu wa kamba zao.
Unakuta jitu boya limekaa pale halafu linakwambia eti "kaa pembeni sina chenji". Yaani unatamani ulirukie ulirarue lakini unashindwa. Are we a failed state or just a shithole country/people/race?🚮
Na aliyeruhusu bajaj kuja mjini ndiyo kaharibu kabisa. Angalia zinavyopaki ovyo na kusababisha msongamano barabarani. Hizi zilitakiwa ziishie bara bara za mitaani tu siyo trunk roads. Ukizingatia ukosefu wa ustarabu kwa madereva wa hivyo vibajaj huwezi kuelewa kwa nini vinaruhusiwa kuingia mjini katiPandeni bajaji
Boss karidhika na kipato, hajali kinachosababisha apate hicho kipato. Na mfumo wa utendaji kwa TZ hasa serikalini, maoni ya mtumishi wa chini hata yakiwa mazuri na ya manufaa, ili kufanyiwa kazi lazima kwanza itafutwe namna kuonesha maoni kayatoa boss hayajatoka chini!tanzania bhana eti biashara au mradi wa mwendokasi unakufa kisa umezidiwa na wateja wengi ajabu..wakati uwingi wa abiria ndio fursa ya kuvuna mamilioni kama faida toka kwa wateja kiasi mradi ungeweza kujinunulia mabasi yake mapya wenyewe kwa faida itakayovuna..ila ndio hivyo vilaza wamekaa tu ofisini hawana mbinu wala mikakati ya biashara zaidi ya kuhesabu tarehe mwisho wa mwezi wapokee mshahara..ni ajabu la dunia biashara kufa kisa imezidiwa na wateja duuh hivi hawaoni aibu hao maboss wa huo mradi sijui wameajiriwa kwa kazi ipi zaidi ya hayo mabasi.!
Hilo ni tatizo la kutengenezwa ili malengo yao yatimie! Amka!!!Kama kuna abiria aliyetoka na treni ya saa kumi namoja jioni kwenda moro kashafika na kaoga kapumzika huwezi amini hapa kivukoni watu wapo tokea saa 10 hamna magari
Yaani abiria wa moro kafika na kashalala mtu wa kimara haelewi hadi sasa ataondoka saa ngapi
sijui Serikali mna mpango gani na huu usafiri mnajinadi kila siku mmefanya makubwa mbona hali tete sana huku
Chini ya ccm hakuna kitu kotakachosimama.....sgr nimeipa Lifespan ya 10yrsKama kuna abiria aliyetoka na treni ya saa kumi namoja jioni kwenda moro kashafika na kaoga kapumzika huwezi amini hapa kivukoni watu wapo tokea saa 10 hamna magari
Yaani abiria wa moro kafika na kashalala mtu wa kimara haelewi hadi sasa ataondoka saa ngapi
sijui Serikali mna mpango gani na huu usafiri mnajinadi kila siku mmefanya makubwa mbona hali tete sana huku
Huwezi kuwa na gari ukang’ang’ana na mwendo kasi mzee acha porojo. Yani ungefungua mioyo ya abiria wa mwendokasi ungestaajabu kwamba 80% yao wanatamani leo kesho wangemiliki usafiri binafsi.We ni mbuzi kweli aliekwanbia wanaopanda mwendokasi hawana hela ni nani
Mwendokasi ndio usafiri umewafanya watu kuacha magari kukimbia foleni na uchovu usijidanganye
Ndiyo maana wakasema sifa ya kuwa mbunge TZ ni kujua kuzoma na kuandika!
Utakuwa ni wendawazimu mtu eti ni tajiri halafu ahangaike na mwendokasi wakati bolt ipo! Tajiri anathamini afya yake kuliko kitu chochote, hakuna usalama kiafya ukipanda mwendokasi. Mtu mmoja mwenye homa ya ini anaweza ambukiza makumi ya watu mule kupitia kupakana majasho tu.Wewe ni kenge hapo kariakoo watu wana pesa na wanakaa mbezi na wanapanda mwendokasi sio kila Tajiri anapanda boda boda jichanganye uzani kila mtu kwenye mwendokasi maskini
Mi nawaona wapumbavu tu hao unaoita matajiri.Ni kweli mkuu! Kuna watu wengi sana nawafahamu pale Kariakoo na wengine ni jamaa zangu wana biashara zao kubwa tu na hela wanazo kama uchafu lakini huyooo unamkuta kwenye Mwendokasi. Ni usafiri mzuri sana sema mipuuzi ya CCM imeshindwa kuusimamia!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 waambie kuna homa ya iniTrue kaka mimi mwenyewe nawajua kama jirani yangu ana maduka mawili ya nguo yule ni bilionea ana pesa vibaya ila kila jioni na mkewe utawaona wanasubiri mwendokasi za mbezi hawana makuu na boda hawataki hata kuziskia maajali
Hivi unajua kuna mtu anatokea Kibaha anapaki gari Mbezi anachukua Mwendokasi anaenda ofisini Posta na K'koo jioni anarudi. Au mantiki ya hii comment ikoje?Tafuta hela
Acha badi dharau kuwa na uhakika wa safari zako usione wengine wasio na uwezo wamependa!!!Mbuzi ni yule uliemuacha kwako! Narudia Tafuta hela huwezi kusema una hela ukae kuanzia saa 10 ukisubiri mwendo kasi mjazane kama kuku kwenye tenga
Kwa nini hawatoi elimu kwa wananchi kuwa kuna mwendokasi app na unaweza kutumia simu yako tu ukaingia kituoni.Hii ngozi nyeusi ni shida. Imagine mradi unakufa kisa kuzidiwa na wateja. Scandinavia, Japan, Germany au kwingineko ko kote itakuwa kashfa ya Karne. Huku kwetu it is OK as long as watu wanakula kulingana na urefu wa kamba zao.
Unakuta jitu boya limekaa pale halafu linakwambia eti "kaa pembeni sina chenji". Yaani unatamani ulirukie ulirarue lakini unashindwa. Are we a failed state or just a shithole country/people/race?🚮