Mwendokasi hawana zimamoto! Mkurugenzi yupo tu kwenye AC!

Mwendokasi hawana zimamoto! Mkurugenzi yupo tu kwenye AC!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776

DART hapo ni Gerezani -Kariakoo, mwendokasi inaungua, wazimaji hawana ndoo za mchanga, hakuna mabomba ya maji ya kuzimia lakni kwakuwa ni karakana kubwa, basi walipasa kuwa na gari lao binafsi la kuzimia moto. Hii Kampuni juzi hapa kateuliwa mkurugenzi mpya, mambo yamekuwa mabaya kuliko hata yule aliyondoelwa.
 
Kwani mwekezaji hapo DART hajapatikana?
Mwarabu wa Dubai amepatikana lakini ni Wa hizi barabara mpya ya Tegeta-Moroco-Posta. -Mbagala- Gongo la Mboto.
Tatizo hata akija mwekezaji hii ngom a mbia mkubwa ni serikali na ndio inateua mkurugenzi, yani pale unavuna hela kuliko m-23 wanaoiba dhahabu kule Congo.
 
Ukiwchana na gari, hata fire extinguisher pia naona hawana sijui wanarusha mawe hapo sijui nini, duu hii noma
 
Ukiwchana na gari, hata fire extinguisher pia naona hawana sijui wanarusha mawe hapo sijui nini, duu hii noma
Wanaokota mchanga kwa kiganja kuzima huo moto, wanaume wa Dar hawa.
 
Mwarabu wa Dubai amepatikana lakini ni Wa hizi barabara mpya ya Tegeta-Moroco-Posta. -Mbagala- Gongo la Mboto.
Tatizo hata akija mwekezaji hii ngom a mbia mkubwa ni serikali na ndio inateua mkurugenzi, yani pale unavuna hela kuliko m-23 wanaoiba dhahabu kule Congo.
Ni bora DART yote wangepewa hao Waarabu,Serikali ingebaki kukusanya kodi na kuboresha miundombinu,tena ya barabara tu..hata hii ya tiketi aachiwe Mwekezaji..
 
Back
Top Bottom