Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sasa wananchi hizi kodi si zenu? Maana viongozi wa serikali hawakatwi kodi.
Naunga mkono hoja
Wapo wanatembea na Cruisr Lx 300 , hilo basi watalipaki as scraper na sidhani kama yana Bima.Inasikitisha sana
Naunga mkono hoja mkuu inasikitisha sanaWapo wanatembea na Cruisr Lx 300 , hilo basi watalipaki as scraper na sidhani kama yana Bima.
Shamba la bibi kila mtu anajichumia mua.
Sa itakuwaje?Bongo kikubwa uhai tu.
Kwani mwekezaji hapo DART hajapatikana?Sa itakuwaje?
Mwarabu wa Dubai amepatikana lakini ni Wa hizi barabara mpya ya Tegeta-Moroco-Posta. -Mbagala- Gongo la Mboto.Kwani mwekezaji hapo DART hajapatikana?
Wanaokota mchanga kwa kiganja kuzima huo moto, wanaume wa Dar hawa.Ukiwchana na gari, hata fire extinguisher pia naona hawana sijui wanarusha mawe hapo sijui nini, duu hii noma
Ni bora DART yote wangepewa hao Waarabu,Serikali ingebaki kukusanya kodi na kuboresha miundombinu,tena ya barabara tu..hata hii ya tiketi aachiwe Mwekezaji..Mwarabu wa Dubai amepatikana lakini ni Wa hizi barabara mpya ya Tegeta-Moroco-Posta. -Mbagala- Gongo la Mboto.
Tatizo hata akija mwekezaji hii ngom a mbia mkubwa ni serikali na ndio inateua mkurugenzi, yani pale unavuna hela kuliko m-23 wanaoiba dhahabu kule Congo.