maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Wakuu tusiishie kutoa lawama mambo yanavyokuwa mabovu halafu yakiboreshwa tusitoe pongezi. Feedback ni muhimu iwe positive au negative.
Kwa sasa kero nyingi sana za mwendokasi zimetatuliwa kiasi ambacho huwezi sikia malalamiko ukiwa kituoni kama zamani ambapo kituoni kila mtu alikua analalamika.
Ilifikia hatua hadi mwendokasi wakaacha kutangaza vituo for no reason na hakuna aliejali. Hii ilionesha kulikua na usimamizi mbovu sana...hadi wakatisha ticket walikua wanaweza kukufokea bila kujali.
Kiukweli tuupongeze uongozi wa sasa ambao uko makini na wametambua kweli hii ni huduma na sisi ni wateja.