RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Serikali inashare I guessHivi haya si magari ya serikali? Kwanini sio STL?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali inashare I guessHivi haya si magari ya serikali? Kwanini sio STL?
Serikali ya CCM Ina Mambo ya ajabu sana. Idara moja ya serikali ilikua inaidai idara nyingine Kodi huku idara ya bandari ikiidai idara daiwa storage charges.Baada ya kutoa yale mabasi 70 bila kulipa kodi nafikiri ndio yamekuja kua msaada kwa wananchi.
Ukweli mwendokasi sahivi ni ahueni kidogo tofauti na awali.
Wajifunze kutunza tuu miundo mbinu
Mbona umetuambia nusu mkuu? Ikawaje?Juzi tumepanda la Mbezi kufika Kimara dereva katukataa😅
Ikawa bila kumwagilia watu wamelipishwa nauli upya kimara mwisho wakati walishalipa full mpk Mbezi😅Mbona umetuambia nusu mkuu? Ikawaje?
Ustaarabu wa watu kupanga foleni pindi wanapokuwa wengi na wote wakisubiri huduma ni mzuri sana na tena unapaswa kuungwa mkono. Tabia ya watu kugombania hovyo kupata huduma kwa kutumia maguvu huwaathiri sana watu wengi hasa wale wenye afya dhaifu katika miili yao.Nimepanda gar hizo jana;
1. Mnapanda kwa mstari which ustaarabu usiozoeleka sana kwa Watanzania wengi wasio wastaraabu.
2. Wenye haraka zake kwa maana ya yuko tayari kusimama wana mstari wao ambapp wanaaza kupanda baada ya siti za kukaw kuwa zimejaa.
3. Gari la moja kwa moja from Mbezi-Kivukoni lipo which very good.
4. Kuna mwangalizi wa utaratibu wote walati wote gari likipakia.
Pongezi sana kwa Wizara husika ya TAMISEMI ambayo DART ipo chini yake.
Ni kweli ila pale halmashauri Kuna msimamizi ni mpiga debe wa mabasi ya mikoani.Mimi kesho kutwa nakuja Dar, nitathibitisha ukweli au uongo wa Mada yako.
🙁 ok 🙂
Serikali ya CCM Ina Mambo ya ajabu sana. Idara moja ya serikali ilikua inaidai idara nyingine Kodi huku idara ya bandari ikiidai idara daiwa storage charges.
SijaelewaNi kweli ila pale halmashauri Kuna msimamizi ni mpiga debe wa mabasi ya mikoani.
Basi la kwenda mbezi Louis likifika anapiga simu kwa wakatisha ticket, nilimsikia anamwambia konda wa abood bus kwamba ajiandae gari linakuja na abiria wengi wanaokwenda Moro!