Kuna batch mpya mabasi naiona barabarani DW, ya zamani yalikuwa DG naona haya yamepunguza msongamano.Jumatatu na jumanne nilikua na safari za Kariakoo na Posta kutokea Ubungo. Mida ya saa 4 Asubuhi kwenda na kurudi saa 11 jioni.
Aisee sikuamini ambavyo nilipata usafiri kiurahisi. Na ndani hatukujazana kivileee. Kawaida kabisa.
Nahisi magari mengi sahivi yapo barabarani.
Why Mkuu? JF kuna matangopori mengi?Inapendeza kama hizi taarifa zitakua na ukweli...
Hivi haya si magari ya serikali? Kwanini sio STL?Kuna batch mpya mabasi naiona barabarani DW, ya zamani yalikuwa DG naona haya yamepunguza msongamano.
May be ni privately owned. Who knows!??? 🙂 🙂 🙂Hivi haya si magari ya serikali? Kwanini sio STL?
Wakuu tusiishie kutoa lawama mambo yanavyokuwa mabovu halafu yakiboreshwa tusitoe pongezi. Feedback ni muhimu iwe positive au negative.
Kwa sasa kero nyingi sana za mwendokasi zimetatuliwa kiasi ambacho huwezi sikia malalamiko ukiwa kituoni kama zamani ambapo kituoni kila mtu alikua analalamika.
Ilifikia hatua hadi mwendokasi wakaacha kutangaza vituo for no reason na hakuna aliejali. Hii ilionesha kulikua na usimamizi mbovu sana...hadi wakatisha ticket walikua wanaweza kukufokea bila kujali.
Kiukweli tuupongeze uongozi wa sasa ambao uko makini na wametambua kweli hii ni huduma na sisi ni wateja.
Nimepanda gar hizo jana;Wakuu tusiishie kutoa lawama mambo yanavyokuwa mabovu halafu yakiboreshwa tusitoe pongezi. Feedback ni muhimu iwe positive au negative.
Kwa sasa kero nyingi sana za mwendokasi zimetatuliwa kiasi ambacho huwezi sikia malalamiko ukiwa kituoni kama zamani ambapo kituoni kila mtu alikua analalamika.
Ilifikia hatua hadi mwendokasi wakaacha kutangaza vituo for no reason na hakuna aliejali. Hii ilionesha kulikua na usimamizi mbovu sana...hadi wakatisha ticket walikua wanaweza kukufokea bila kujali.
Kiukweli tuupongeze uongozi wa sasa ambao uko makini na wametambua kweli hii ni huduma na sisi ni wateja.
wakatisha tickets na madereva wote ni soldier, mwendo wa amri tuWakuu tusiishie kutoa lawama mambo yanavyokuwa mabovu halafu yakiboreshwa tusitoe pongezi. Feedback ni muhimu iwe positive au negative.
Kwa sasa kero nyingi sana za mwendokasi zimetatuliwa kiasi ambacho huwezi sikia malalamiko ukiwa kituoni kama zamani ambapo kituoni kila mtu alikua analalamika.
Ilifikia hatua hadi mwendokasi wakaacha kutangaza vituo for no reason na hakuna aliejali. Hii ilionesha kulikua na usimamizi mbovu sana...hadi wakatisha ticket walikua wanaweza kukufokea bila kujali.
Kiukweli tuupongeze uongozi wa sasa ambao uko makini na wametambua kweli hii ni huduma na sisi ni wateja.
Siyo hilo,hata kupanda mabasi hayo sasa hivi ni kwa foleni,kumbe waTanzania tukiamua kufanya mambo mema inawezekana.Jumatatu na jumanne nilikua na safari za Kariakoo na Posta kutokea Ubungo. Mida ya saa 4 Asubuhi kwenda na kurudi saa 11 jioni.
Aisee sikuamini ambavyo nilipata usafiri kiurahisi. Na ndani hatukujazana kivileee. Kawaida kabisa.
Nahisi magari mengi sahivi yapo barabarani.
DW yapo zaidi ya mabus 70 barabaraniKuna batch mpya mabasi naiona barabarani DW, ya zamani yalikuwa DG naona haya yamepunguza msongamano.
Sisi WA mbagala tunasubiri mwendokasi ili tuone ustaarabu wetu ni WA kiwango gani sidhani kama abiria watakubali kujipanga mstariJuzi tumepanda la Mbezi kufika Kimara dereva katukataa😅
Hahahahahah Mbagala itakuwa mauaji labda wavunje na vioo kabisa watu watafia ndani mleSisi WA mbagala tunasubiri mwendokasi ili tuone ustaarabu wetu ni WA kiwango gani sidhani kama abiria watakubali kujipanga mstari