Mwendokasi kutotumia njia ya Jangwani na Mkwajuni sababu ya Mafuriko

Kibiashara hizo gari kwa sasa wazipeleke njia ya MBAGALA.
1. Barabara imekamilika (kwa macho ya kawaida)
2. Abiria ni wengi (wateja)
3. Ni matumizi mazuri ya resources (magari yao)
4. Watapata faida
Mwambie Nape amwambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…