Mwendokasi njia ya Kibaha wanachelewesha abiria

Mwendokasi njia ya Kibaha wanachelewesha abiria

Makongoroso

New Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Wito kwa DART kuboresha huduma ya Mabasi ya Kimara to Kibaha. Leo tarehe 20/3/2023 nimefika Kimara saa 2.30 asubuhi na abiria walikuwa wamejaa wa kwenda Kibaha lakini Dereva wa basi hakua na haraka ya kusogea abiria walipo ili gari iende Kibaha.

Baada ya kusubiri kwa nusu saa na kwenda kuwaambia ndio Dada Mtangazaji anahangaika kumkumbusha Dreva asogee. Sidhani kama Taifa tutasogea ikiwa abiria wanasubiri dk 30 pasipo kupata huduma na hakuna shida ya kutokuwapo kwa basi isipokuwa ni utashi wao.

Wafanyakazi wa mabasi ya mwendokasi mjue wote tunaelekea kwenye majukumu hivyo ni muhimu kufanya kazi kwa kujali muda. Sisi abiria ndio tunaofanya mnafanya hiyo kazi.

Aione.. Mtendaji Mkuu wa DART
 
Me sio mtumiaji wa hiyo ruti lkn hiyo kadhia nilishawahi kukutana nayo siku koja, yaaani abiria wamejazana lkn dereva hajulikani alipo mpaka atafutwe.
 
Back
Top Bottom