Sijui anaishi nchi gn huyuunaandika unakimbia daladala ndio ziloanza kupndisha nauli mfano nauli ya 400 sasa ni 500 wapandishe mara ngap
yani uko bongo then unauliza maswali ya kijinga kijinga , nyie wamiliki wa daladala mna matatizo sana nyie, hujasikia kama kesho jumatatu ndio nauli mpya za mwendokasi zinaanza? sasa kama huo mradi tangu uanzishwwe hawajawahi kupandishiwa nauli wewe unadhani wanajiendeshaje? we jamaa ni kilaza sana wewe
Nenda sasa kituoni na miasita yako na hamsini uone kama mimi na wewe nani hana akili, utumbo jazz band wewe kuna huduma inayotolewa bure, hata kunya na kukojoa mnalipia sembuse usafiri, usirukie vitu usivyovijua fisiemu wewe. acha makasiriko nauli zimepanda shilingi 100 na 50 tu povu linakutoka mlipoambiwa mnawekewa tozo kwwenye luku wala hukumaindi shuwainiHuna akili
Mwendo kasi ni huduma
Na mwenye gari nae apateUmoja wa mabasi muda wa kuwa kitu kimoja sasa
Hivi karibuni tulitangaziwa ongezeko la nauli za mwendokasi. Sijui zinaanza lini
Kama wameruhusiwa na mamlaka husika na nyie mabasi ya kawaida mpandshe
Wote mnatumia mafuta aina moja vyema kukawa na usaws kwenye swala la nauli na matumizi ya mafuta.
Tunaimani wakianza basi mamlaka husika mtaruhusu pia yale. Maombi ya kuongeza nauli basi za kawaida
Ukraine@work