Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Mabasi hayo ambayo yana uwezo wa kubeba abiria 130 yatasaidia kupunguza adha ya usafiri wa umma, na kusaidia pia kupunguza msongamano wa magari katikati ya mji.
Source :Citizen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi tungewaiga kushinikiza mpaka kupatikana katiba mpya tungekuwa wa maana kweli. Lakini akili zetu wa Tanzania zinaishia kulinganisha size za tupu zetu na wakenya hapa jf. We are a gone case kuanzia nchi yeneyewe mpaka wananchi wake.Kuiga maendeleo si ndio ujanja wakuu...na sisi tuige yao mazur
Ni kweli hamna barabara maalum kama ilivyo Dar es salaam
Na wengi wamehoji hilo
Mi natamani tuige wakenya tuitoe ccm na tupate katiba mpya
Wewe jamaa ni kichwa maji kweli,Tatizo umekimbilia kuposti baada ya kuona picha, bila hata kushirikisha ubongo na kujifahamisha kwanza nini kinaendelea. Sasa utaishia kuulizwa maswali na ukose majibu maana huna uelewa wa nini hicho ulichopost.
Haya hapa ni mabasi ya kampuni binafsi na wala haihusiani na mambo ya mwendo kasi au mfumo wa DART. Ni kama jinsi leo hapo Dar mojawapo ya makampuni ya daladala waamue kutumia mabasi yaliyounganishwa na kuyaingiza mjini, daladalaa zenye uwezo wa kubeba abiria 130 kwa mpigo.
Mkuu kwani yakiwa ya watu binafsi haruhusiwi kuwekewa barabara maalum..!?Tatizo umekimbilia kuposti baada ya kuona picha, bila hata kushirikisha ubongo na kujifahamisha kwanza nini kinaendelea. Sasa utaishia kuulizwa maswali na ukose majibu maana huna uelewa wa nini hicho ulichopost.
Haya hapa ni mabasi ya kampuni binafsi na wala haihusiani na mambo ya mwendo kasi au mfumo wa DART. Ni kama jinsi leo hapo Dar mojawapo ya makampuni ya daladala waamue kutumia mabasi yaliyounganishwa na kuyaingiza mjini, daladalaa zenye uwezo wa kubeba abiria 130 kwa mpigo.
Mkuu kwani yakiwa ya watu binafsi haruhusiwi kuwekewa barabara maalum..!?
Sema basi kuwa yatapita kwenye Bay pass, nyingi hamkosei jambo,mbona mtapozindua miradi mbalimbali ya maendeleo tunawapongeza.. acha hizo wewe.
Wewe jamaa ni kichwa maji kweli,
Thread yako umeita mwendokasi, halafu kwenye hii comment unasema hazihusiani na mwendokasi,
Sasa si ungesema tu ni daladala kama uda za ubungo mbagala.
Uache uvivu wa kufikiria.
mh kuweka roho rehani watawezaWaige na ukuta,
Kopipesti kitu gani, hiyo private initiative?Kukopi,na kupesti,ndio mimi nilisema,tusijilinganishe na wakenya,hawana cha mno.
That is a private initiative by a private firm.....Kopipesti kitu gani, hiyo private initiative?
Na cku Dar kutakuwa na mahighways kama za Nairobi ndo tutaheshimiana.