God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Sio wewe tu hili ombwe la mdololo wa biashara ni nchi nzima jamaa kapunguza purchasing power watu hawàjengi tunachopata ni kwa ajili ya kula tuWadau nipo kwenye biashara ya Hardware mwaka wa pili sasa, mwanzo biashara ilikuwa poa mpaka nikawa najisemea biashara ndiyo hii!
Hali imechange sana mwaka huu japo mwaka jana hali ilianza kudorola taratibu, sasa mwaka huu hata kipindi ambacho huwa tunaona ni cha biashara mambo yamekuwa sio kabisa!
Kwakweli stress nilizonazo hazielezeki, mzigo umejaa dukan wateja hakuna mtu unakomaa kwa siku unaondoka na elf 20.
Hapa nawaza niswitch kwenda kwenye biashara gani nashindwa kuelewa!
Vipi huko wenzetu hali ya biashara ikoje, mtu asije akaniambia niingie Forex hiyo naifahamu tayari!
Kabla ya kuchangia ninaomba mleta uzi unifafanulie biashara ilikuwa nzuri lini awamu ya nne au hii awamu ya tano ya uongozi usiopenda uchochezi?Wadau nipo kwenye biashara ya Hardware mwaka wa pili sasa, mwanzo biashara ilikuwa poa mpaka nikawa najisemea biashara ndiyo hii!
Hali imechange sana mwaka huu japo mwaka jana hali ilianza kudorola taratibu, sasa mwaka huu hata kipindi ambacho huwa tunaona ni cha biashara mambo yamekuwa sio kabisa!
Kwakweli stress nilizonazo hazielezeki, mzigo umejaa dukan wateja hakuna mtu unakomaa kwa siku unaondoka na elf 20.
Hapa nawaza niswitch kwenda kwenye biashara gani nashindwa kuelewa!
Vipi huko wenzetu hali ya biashara ikoje, mtu asije akaniambia niingie Forex hiyo naifahamu tayari!
Kuna watu wanashabikiaga huu msemo kuwa wanaolalamika Hali ngumu walikuwa wapiga madili.,lkn ukweli tra wanaujua... huweziamini maduka mitaani yanafungwa na biashara nyingi zimedorola. Kwakweli serikali lzm iliangalie hiliDu hii hali ukiwaza unaweza jua upo pekeyako kumbe tupo wengi.....najiuliza wanaosema hali shwari wanaolalamika ni wapiga dili inamaana na Mimi na kale kabiashara kangu ndo ulikuwa upigaji dili!! Yote yatapita!!
Mkuu siku hizi watu hatusafirisafiri kama kipindi kile naenda sijui kwa nani kumsalimia, siku hizi ni kwa vitu muhimu tuu kama kwenda kazini ndio tunasafiri....daladala hesabu iko palepale!
Mkuu mi nimefunga biashara yangu kutoka mauzo wastn 200k kwa siku hadi 0... mzigo upo ndani huku nikitafakari what next!!Kuna watu wanashabikiaga huu msemo kuwa wanaolalamika Hali ngumu walikuwa wapiga madili.,lkn ukweli tra wanaujua... huweziamini maduka mitaani yanafungwa na biashara nyingi zimedorola. Kwakweli serikali lzm iliangalie hili
Ndo ivo unaambiwa hesabu ziko pale paleMkuu siku hizi watu hatusafirisafiri kama kipindi kile naenda sijui kwa nani kumsalimia, siku hizi ni kwa vitu muhimu tuu kama kwenda kazini ndio tunasafiri.
Ilikua lazima uipate hio laki 2?Mkuu mi nimefunga biashara yangu kutoka mauzo wastn 200k kwa siku hadi 0... mzigo upo ndani huku nikitafakari what next!!
...hiyo labda itaathiri posho za suka na mikoba wake,Mkuu siku hizi watu hatusafirisafiri kama kipindi kile naenda sijui kwa nani kumsalimia, siku hizi ni kwa vitu muhimu tuu kama kwenda kazini ndio tunasafiri.