God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Mkuu ulitegemea nini kwa hali hii ilivyo?
Nakushauri tumia social network kama fb, jf na insta kutangaza biashara yako. Angalia gap lililopo kwenye hardware zilizo karibu nawe ulifanyie kazi i hope utatoka.