Mwenezi aelekee upande gani kwenda kupuliza dawa ya kuua wadudu?

Mwenezi aelekee upande gani kwenda kupuliza dawa ya kuua wadudu?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Walimuona Mwenyekiti wetu mstaarabu sana na mwenye upendo kwa watu wote, wapuuzi wale wakaanza kumkejeli kumdhihaki kumtweza.

yarabi Mwenyekiti hakulelewa kwenye malezi ya aina hiyo yeye akawa mpole tu, akazidi kuwapenda mara mbili zaidi, baadae ikaonelewa vijana wanawezana kwa vijana, acha vijana wakabane koo wao kwa wao!

#Jembe lielekee wapi likamwage sumu?
#Dudukiller asisahau kuna wanaosapoti mambo ya faragha!

FB_IMG_1700549084993.jpg
 
Back
Top Bottom