McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Kenani Kihongosi, amewajibu wanaoshinikiza kufutwa kwa ushuru na tozo kwenye mafuta, akisema kuwa hatua hiyo ni "udanganyifu wa kisiasa" na jambo ambalo haliwezekani katika uendeshaji wa nchi yoyote duniani.
“Nchi yoyote duniani inaendeshwa kwa kodi. Hakuna namna utaendesha taifa bila kukusanya kodi. Kodi hizi ndizo zinasaidia barabara ziwepo, hospitali ziwepo, na miundombinu ya reli iweze kujengwa,” alisema Kihongosi.
"Baadhi wanasema tozo zifutwe, zisiwepo. Nchi yoyote duniani inaendeshwa kwa kodi. Hakuna namna utaendesha taifa bila kukusanya kodi... Lakini huwezi ukasema unafuta ushuru kabisa. Hapo ni kuwahadaa Watanzania,”