Pre GE2025 Mwenezi CCM mkoa wa Arusha: Arusha tutampa kura za kishindo Rais Samia

Pre GE2025 Mwenezi CCM mkoa wa Arusha: Arusha tutampa kura za kishindo Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Arusha Saipulani .A. Ramsey amesema wao kama mkoa wanamuombea Mungu Rais Samia Ushindi wa Heshima na watanzania wote wakae tayari kuyapokea maisha mazuri katika miaka mitano mingine ya Dkt.Samia Suluhu Hassan iliafanye ile kazi ya wananchi kwa kuyapokea maisha mazuri ya kiuongozi kwa vyama vyote vya kisiasa nchini.

Soma Pia: Arusha: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

 
Back
Top Bottom