Wakati CCM kupitia viongozi wake wakuu wanakemea kampeni za mapema na viongozi kubeba wagombea/watia nia hali huko wilaya ya Moshi Vijijini ni tofauti.
Mwenezi wa CCM wilaya hiyo aitwaye Huseni Abduli eikei mwenyekiti anayeishi mji wa Himo amekuwa kinara wa kubeba wasaka ubunge wakiwemo Nicolas Massawe kupitia kwa katibu wa CCM wilaya ya Lushoto aitwae Miriamu Kaaya. Wiki chache zilizopita katibu Miriamu alialikwa kwenye kikao cha kujipanga kumsaidia ndg Nicolas Massawe anayetaka ubunge Moshi Vijijini huku wakimnadi ndg Inoki Koola anayetaka ubunge Vunjo.
Zipo picha, video na audio za vikao hivyo vya siri kupitia wotoa taarifa, pamoja na viongozi wa wilaya na mkoa kujua mwenendo wa kiongozi huyo hachukuliwi hatua kwa madai ni swahiba wa karibu wa katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Bi Mese Molel