Mwenezi Mjema akutana na Wamiliki na Wakurugenzi wa vyombo vya habari

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
MWENEZI MJEMA AKUTANA NA WAMILIKI NA WAKURUGENZI WA VYOMBO VYA HABARI.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Sophia Mjema kwa nyakati tofauti jana tarehe 08 Februari, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya wamiliki na wakurugenzi wa vyombo vya habari katika ya awamu ya kwanza ambao ni Ndg Shabani Kissu Mkurugenzi wa AMG, Uhuru Radio&UPL; Ndg Francis Siza (Majizzo) mmiliki na Mkurugenzi Mkuu wa EFM&TVE; Ndg Sheba Kusaga Mkurugenzi wa Clouds Media Group (CMG); Ndg Yahaya Mohamed Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Azam Media na Dkt Ayubu Ryoba Mkurugenzi Mkuu wa shirika la utangazaji la Taifa (TBC).

#CCMImetimia #KaziIendelee
 

Attachments

  • ded7fc60e02d47ea9c3021690a3fbd3a_329427319_192592513494846_1356977610337016104_n.jpg
    130.8 KB · Views: 10
  • f554ff9abf5549089867db3a49a52132_329409514_931709878271967_8157493917998828129_n.jpg
    140.7 KB · Views: 9
  • 18e5b59ba03a40ec9bf7f74089581e64_329554494_193673136678921_8833996961939165786_n.jpg
    157.3 KB · Views: 9
  • b6f6829ce91445a18e65ce7bad243e6b_329359712_137423345862832_4359448979824858478_n.jpg
    133.4 KB · Views: 5
  • 1183d18f66b042c7a3c3e5880a7e23ce_329639638_178796968218367_6144015795303984374_n.jpg
    150.9 KB · Views: 8
  • e42ae1176d7d42eeab7dc68166cb64a5_329003775_739148994224910_4847749120177569566_n.jpg
    128.6 KB · Views: 8
  • 8d0a5cc6fb4b42ff9e5761a19055c16a_330112894_3016428778658791_6864913741029653374_n.jpg
    149.7 KB · Views: 7
Hivyo ni vikao muhimu sana vya familiarization visits. Vitafuatiwa na familiarization tour.
P
 
Karibu pia huku JF, huku kila kitu hadharani, hakuna mazuria ya kuhifadhi uchafu!
 
Nke wa Bosnia huyo
 
Kwanini wanaogopa kwenda moja kwa moja kuongea na watanzania, badala yake wanaongea nao kupitia vyombo vya habari?

Msitudanganye ndio vizuri mtawafikia wengi kwa wakati mmoja, nyie mna pesa nyingi za ruzuku, matatizo ya wananchi hayafanani, nendeni mkasikilize kero zao field, waache uoga.
 
CCM ni chama cha siasa kinachoshinda uchaguzi hata kabla ya mwaka wa upigaji kura - Hongera sana Mjema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…