B BWANKU M BWANKU JF-Expert Member Joined Jan 12, 2019 Posts 377 Reaction score 435 Mar 18, 2022 #1 ARUSHA NA 365 ZA SAMIA. Tunasheherekea ujenzi wa Tanzania Mpya yenye furaha, matumaini na isiyo na hofu ikiambatana na ukuzaji wa uchumi wa Nchi pamoja na uimarishaji wa huduma za kijamii. Hakika kazi kubwa imefanyika na kazi iendelee. #365zaSamia #ZamuYaArusha #TukutaneMachi19
ARUSHA NA 365 ZA SAMIA. Tunasheherekea ujenzi wa Tanzania Mpya yenye furaha, matumaini na isiyo na hofu ikiambatana na ukuzaji wa uchumi wa Nchi pamoja na uimarishaji wa huduma za kijamii. Hakika kazi kubwa imefanyika na kazi iendelee. #365zaSamia #ZamuYaArusha #TukutaneMachi19
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 19, 2022 #2 Ahsante kwa taarifa...
Mtuflani Official JF-Expert Member Joined Dec 31, 2019 Posts 1,952 Reaction score 4,416 Mar 19, 2022 #3 Ni mwendo wa per diem kudadeki....