Pre GE2025 Mwenezi wa CHADEMA Dodoma mjini abwaga manyanga, atimkia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)Wilaya ya Dodoma Mjini Godfrey Kimario Leo Feb 13,2025 amekabidhi kadi ya Chama Chake Kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi(CCM)Wilaya ya Dodoma Mjni Stephen Mhanga ili kujiunga na CCM

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia:

wakati akikabidhi Kadi hiyo Kimario amewakumbusha vijana wa vyama vya upinzani kujitathmini juu ya ndoto zao za muda mrefu za kuamini siku moja watakuwa viongozi kwani Kuna baadhi ya viongozi wao wanawakwamisha kutokana na matamko wanayoyatoa kupitia majukwaa ya Siasa na vyombo vya Habari

Your browser is not able to display this video.
 
Bado tunasubiria wengine.
 
Sawa, hatuna cha kupoteza
 
Wachumia tumbo wameanza kukimbia wenyewe.
Mapambano ya kudai haki hayawezi kufanywa na watu wajinga wanaowaza kwa kutumia matumbo.
Wenye nia thabiti tutaendelea na mapambano ya kudai haki, uhuru na heshima ya mwananchi.
Hatuwezi kuendelea kuvumilia kuona haki zetu za kuchagua na kuchaguliwa zikipokwa na kikundi kidogo kwa maslahi yao
 
Alikuwa chadema kwa kazi maalum
 
Unapambania Nini, jinga kweli
 
huna athari kwa chadema wewe ni timu mbowe
 
Kimario ana ndoto za kutimiza😀😀 kama alivyosema FAM wakati wa kampeni za uenyekiti kuwa ana ndoto zake za kutimiza 😀
 
Hata kuongea hajui , jina kimario kwenda kwa wapiga dili na rushwa kubwa
 
Siasa za Bongo ni utafutaji kama utafutaji mwingine,so siyo jambo la kushangaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…