kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Siasa za kishamba CCM wagawa rushwa mkiongozwa na mama mwenyekiti wenu ,anatoa rushwa waziwazi hana hata aibuBado tunasubiria wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa za kishamba CCM wagawa rushwa mkiongozwa na mama mwenyekiti wenu ,anatoa rushwa waziwazi hana hata aibuBado tunasubiria wengine.
Mkuu mahakamani hukujui? Si ukafungue kesi?Siasa za kishamba CCM wagawa rushwa mkiongozwa na mama mwenyekiti wenu ,anatoa rushwa waziwazi hana hata aibu
Mahakama hizi zinazo pigiwa simu kutoa maamuzi au zipi unazo ziongelea?Mkuu mahakamani hukujui? Si ukafungue kesi?
Sasa kwanini usimshauri Tundu Lissu akaacha kuwa Ofisa wa Mahakama Kuu ili asiwe sehemu ya rushwa?Mahakama hizi zinazo pigiwa simu kutoa maamuzi au zipi unazo ziongelea?
Mimi sio mshauri wa lissu mimi ni mtanzania mpinga rushwaSasa kwanini usimshauri Tundu Lissu akaacha kuwa Ofisa wa Mahakama Kuu ili asiwe sehemu ya rushwa?
Ahahahahaha!!!Mimi sio mshauri wa lissu mimi ni mtanzania mpinga rushwa
Sisi hatuangalii teuzi, tunaangalia chamaTatizo wageni wakija wanaramba teuzi na nyie machawa na wapigania chama na mliojidharilisha kitambo mnaonekana mbwa tu
Lakini wenye chama wanawachukua chadema na vyeoSisi hatuangalii teuzi, tunaangalia chama