kichongeochuma JF-Expert Member Joined Jan 21, 2024 Posts 1,669 Reaction score 2,864 Feb 15, 2025 #21 Mtoto wa Shule said: Bado tunasubiria wengine. Click to expand... Siasa za kishamba CCM wagawa rushwa mkiongozwa na mama mwenyekiti wenu ,anatoa rushwa waziwazi hana hata aibu
Mtoto wa Shule said: Bado tunasubiria wengine. Click to expand... Siasa za kishamba CCM wagawa rushwa mkiongozwa na mama mwenyekiti wenu ,anatoa rushwa waziwazi hana hata aibu
S sysafiri JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 6,845 Reaction score 10,071 Feb 15, 2025 #22 Kwenye Mapambano lazima wale Weak wakimbie.
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Feb 15, 2025 #23 kichongeochuma said: Siasa za kishamba CCM wagawa rushwa mkiongozwa na mama mwenyekiti wenu ,anatoa rushwa waziwazi hana hata aibu Click to expand... Mkuu mahakamani hukujui? Si ukafungue kesi?
kichongeochuma said: Siasa za kishamba CCM wagawa rushwa mkiongozwa na mama mwenyekiti wenu ,anatoa rushwa waziwazi hana hata aibu Click to expand... Mkuu mahakamani hukujui? Si ukafungue kesi?
kichongeochuma JF-Expert Member Joined Jan 21, 2024 Posts 1,669 Reaction score 2,864 Feb 15, 2025 #24 Mtoto wa Shule said: Mkuu mahakamani hukujui? Si ukafungue kesi? Click to expand... Mahakama hizi zinazo pigiwa simu kutoa maamuzi au zipi unazo ziongelea?
Mtoto wa Shule said: Mkuu mahakamani hukujui? Si ukafungue kesi? Click to expand... Mahakama hizi zinazo pigiwa simu kutoa maamuzi au zipi unazo ziongelea?
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Feb 15, 2025 #25 kichongeochuma said: Mahakama hizi zinazo pigiwa simu kutoa maamuzi au zipi unazo ziongelea? Click to expand... Sasa kwanini usimshauri Tundu Lissu akaacha kuwa Ofisa wa Mahakama Kuu ili asiwe sehemu ya rushwa?
kichongeochuma said: Mahakama hizi zinazo pigiwa simu kutoa maamuzi au zipi unazo ziongelea? Click to expand... Sasa kwanini usimshauri Tundu Lissu akaacha kuwa Ofisa wa Mahakama Kuu ili asiwe sehemu ya rushwa?
kichongeochuma JF-Expert Member Joined Jan 21, 2024 Posts 1,669 Reaction score 2,864 Feb 15, 2025 #26 Mtoto wa Shule said: Sasa kwanini usimshauri Tundu Lissu akaacha kuwa Ofisa wa Mahakama Kuu ili asiwe sehemu ya rushwa? Click to expand... Mimi sio mshauri wa lissu mimi ni mtanzania mpinga rushwa
Mtoto wa Shule said: Sasa kwanini usimshauri Tundu Lissu akaacha kuwa Ofisa wa Mahakama Kuu ili asiwe sehemu ya rushwa? Click to expand... Mimi sio mshauri wa lissu mimi ni mtanzania mpinga rushwa
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Feb 15, 2025 #27 kichongeochuma said: Mimi sio mshauri wa lissu mimi ni mtanzania mpinga rushwa Click to expand... Ahahahahaha!!!
kichongeochuma said: Mimi sio mshauri wa lissu mimi ni mtanzania mpinga rushwa Click to expand... Ahahahahaha!!!
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Feb 15, 2025 #28 much know said: Tatizo wageni wakija wanaramba teuzi na nyie machawa na wapigania chama na mliojidharilisha kitambo mnaonekana mbwa tu Click to expand... Sisi hatuangalii teuzi, tunaangalia chama
much know said: Tatizo wageni wakija wanaramba teuzi na nyie machawa na wapigania chama na mliojidharilisha kitambo mnaonekana mbwa tu Click to expand... Sisi hatuangalii teuzi, tunaangalia chama
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 11,461 Reaction score 17,183 Feb 15, 2025 #29 chiembe said: Sisi hatuangalii teuzi, tunaangalia chama Click to expand... Lakini wenye chama wanawachukua chadema na vyeo
chiembe said: Sisi hatuangalii teuzi, tunaangalia chama Click to expand... Lakini wenye chama wanawachukua chadema na vyeo