Hawamo humu ndani
Duuuu! Inamaana wote waliojisajili hawatembelei humu! Hii ni sehemu ya pili tunaomba waliotangulia watujuze lkn kimyaaa!
Emhegele wewe ukifika utatuambia mimi niko njian lkn kuna mambo hayajakaa vema kwahiyo kama cku2/3 hv nitakuja.
Poa safar njema.
Mungu akufanyie safar ya kher na baraka teleee!
nimefika jaman hapa choka aisee!
We idd kumbe wewe uko huko? Mi nalalama cku zote mnitajie kiwango cha pesa kinachompa mwanamwuce mpya ruhusa ya kuanza masomo!
Nihiyo 360000? Au na kias kingine?
Pole kuna tetes za kuisha kwa nafas za kulala chuon, mwenzako nimechokaje?
pole kijana, karibu sana mjengoni