MWENGE tujisogeze

MWENGE tujisogeze

Kama hujaanza safar ya kuja jipange ndugu na kama mambo mabaya usiogope sana kama ukiweza ubish unaish tu maana kuna chakula had 1000/=
Malaz hayana suluhu ndugu
 
leo nilienda Notice Board kusoma ratiba na course zinazonihusu.
 
Vp huko tuliokuwa tumekosea kufanya application then tupo ile 3rd trial fununu zinasemaje? maana bado wengine nipo njia panda ila ilitupia hapo chaguo langu.msaada plz
 
Tulipishana kidogo sana maana mi nimefika hapo board zaid ya mara3

Umechukua yap Emhegele?
 
wadau mmeanza lisongesha book ama bado mchakato mwenzenu bado nipo kijijin
 
Ndgu kinyaaa pindi tunalisongesha xana tuu!! Af vpnd vipo tyt hadi saa12:30.
Ila mwanangu be pashent xubiria muda wako ukifika utascsz!
 
Vp huko tuliokuwa tumekosea kufanya application then tupo ile 3rd trial fununu zinasemaje? maana bado wengine nipo njia panda ila ilitupia hapo chaguo langu.msaada plz

sijapata taarifa! Labda tumuulize Young Ticha
 
Ndgu kinyaaa pindi tunalisongesha xana tuu!! Af vpnd vipo tyt hadi saa12:30.
Ila mwanangu be pashent xubiria muda wako ukifika utascsz!

duh kweli lazima mtu azimie maana huo mchakamchaka
 
Back
Top Bottom