Dah mwenge ni kweli pa kusoma!! Hata mavazi yana mashart!! Hawanaga carrier!!! Duuh!!
Jaman kesho naanza safar ya kuja mosh ni mara yangu ya kwanza kukanyaga huo mkoa so wenyej kaen mkao wa kupokea mgan but msinitie changu kwasababu nimewaambia mgen. Nitakuja na meridian
kwa kawaida ni 40, 50, 60 mpaka 70 kwa mwez ukibahatisha 30 au 35 vya akina sisi.
shukran kwa taarifa
Kengele wapi upo xaxa!!!
Tulipishana kidogo sana maana mi nimefika hapo board zaid ya mara3
Umechukua yap Emhegele?
Vp huko tuliokuwa tumekosea kufanya application then tupo ile 3rd trial fununu zinasemaje? maana bado wengine nipo njia panda ila ilitupia hapo chaguo langu.msaada plz
Ndgu kinyaaa pindi tunalisongesha xana tuu!! Af vpnd vipo tyt hadi saa12:30.
Ila mwanangu be pashent xubiria muda wako ukifika utascsz!