Mwenge unafaida gani wakati kuna mkaguzi mkuu wa serikali

Mwenge unafaida gani wakati kuna mkaguzi mkuu wa serikali

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu.
Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
 
kuiba hela za serikali na walimu kila mwaka na kuzipeleka CCM kwa kisingizio cha kuendesha shughuli za mwenge
 
𝑀𝑘𝑢𝑢 𝑡𝑢𝑘𝑜 𝑘𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑛𝑐ℎ𝑖 𝑖𝑛𝑎𝑦𝑜 𝑎𝑚𝑖𝑛𝑖 𝑢𝑐ℎ𝑎𝑤𝑖.
 
Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu.
Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
Kwa mijini yes ila kwa vijijini that’s big big deal, kuna maeneo hata gari kufika shughuli sana,na km sio mwenge kusingekua na maendeleo yoyote,Nafikiri hujatembea wewe unapita mijini tu ukienda mikoani.
 
Back
Top Bottom