Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu.
Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm

Kwa mijini yes ila kwa vijijini thatβs big big deal, kuna maeneo hata gari kufika shughuli sana,na km sio mwenge kusingekua na maendeleo yoyote,Nafikiri hujatembea wewe unapita mijini tu ukienda mikoani.