Mwenge University

Mwenge University

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,
 
Yaani matokeo yamebandikwa kwa majina kama sekondari
 
Nimehudhuria lecture yao moja ya EDU dah lecturer anafundisha kama mwalimu wa shule ya msingi
 
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,

hebu kafue boxer yako maana chawa wanakusumbua.Hiki chuo kwa akili yako hii ukiwezi we baki ukouko kwa wendawazimu wenzio.Kama una mtu unayemfahamu anasoma hapa muulize akuambie mziki wake.
 
Nimehudhuria lecture yao moja ya EDU dah lecturer anafundisha kama mwalimu wa shule ya msingi

Tatizo lako uelewi kiingereza (mtoto wa mulugo)utabaki na hayohayo wenzio tunachapa lapa.
 
Hicho chuo kipo chini ya kanisa lakin kinaongoza kwa malectural kuwataka wananchi wawahonge rushwa ngono ili wafauli mitihani n wanafunz kibao wameham hapo kwa sabab hiyo na lectural mmoja ambaye nae nimiongoni mwenye tabia hiyo ameoa mwezi huuu...
 
Hicho chuo kipo chini ya kanisa lakin kinaongoza kwa malectural kuwataka wananchi wawahonge rushwa ngono ili wafauli mitihani n wanafunz kibao wameham hapo kwa sabab hiyo na lectural mmoja ambaye nae nimiongoni mwenye tabia hiyo ameoa mwezi huuu...[/QU
Wananchi sio wanachuo?sasa wananchi watafaulu vipi wakati wanaosoma pale si wananchi ni wanachuo.Wanaohama wengi wao wamecarry.Hayo mambo ya ngono kwa vyuo vikuu vya bongo mbona ni mambo ya kawaida sana.Pale UDSM kuna bwana mmoja sasa ivi ni mkuu wa wilaya kawalamba sana,Ni udhaifu wa awa Dada zetu kupenda mteremko,kwa hapa Mwenge hakuna hicho kitu.Na kwa Ushaidi ungesema huyo lecture ni wa somo gani?.Nafikiri umenielewa na inaonyesha kweli wewe unatumia mihadarati sawa na hilo jina lako na ndo maana unatuletea stori za kwenye mihadarati.
 
Kila ninapoona majadiliano ya aina hii ninakua napata hofu na product ambayo nchi itaipata kutoka kwa vijana mlioingia vyuoni mwaka huu. Mungu awasaidie tu
 
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,

Huyu kichaa mpigamsuli wa wapi huyu? Maana haeleweki ukichek post zake zinachanganya sana, yaan ni kama akili hana vilevile kichaaa pia hana loh!,
 
Huyu kichaa mpigamsuli wa wapi huyu? Maana haeleweki ukichek post zake zinachanganya sana, yaan ni kama akili hana vilevile kichaaa pia hana loh!,
Huyu jamaa mara anasema kachaguliwa Mkwawa mara Mwenge sijui wa wapi??
 
degree ya education ya mwenge ni sawa na mwanafunzi wa form six tu
 
Back
Top Bottom