Mwenge University

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,
 
Yaani matokeo yamebandikwa kwa majina kama sekondari
 
Nimehudhuria lecture yao moja ya EDU dah lecturer anafundisha kama mwalimu wa shule ya msingi
 
Chuo kinaendeshwa kama shule ya msingi ,

Kwani wanakaaga mstarini na kuimba wimbo wa shule na wa taifa?? wanavaaga kaptula za kaki? au wanachapwagwa? mbona sikuelewi?? hv unajua kuwa unaongeaga pumba wewe?
 
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,

hebu kafue boxer yako maana chawa wanakusumbua.Hiki chuo kwa akili yako hii ukiwezi we baki ukouko kwa wendawazimu wenzio.Kama una mtu unayemfahamu anasoma hapa muulize akuambie mziki wake.
 
Nimehudhuria lecture yao moja ya EDU dah lecturer anafundisha kama mwalimu wa shule ya msingi

Tatizo lako uelewi kiingereza (mtoto wa mulugo)utabaki na hayohayo wenzio tunachapa lapa.
 
Hicho chuo kipo chini ya kanisa lakin kinaongoza kwa malectural kuwataka wananchi wawahonge rushwa ngono ili wafauli mitihani n wanafunz kibao wameham hapo kwa sabab hiyo na lectural mmoja ambaye nae nimiongoni mwenye tabia hiyo ameoa mwezi huuu...
 
Kila ninapoona majadiliano ya aina hii ninakua napata hofu na product ambayo nchi itaipata kutoka kwa vijana mlioingia vyuoni mwaka huu. Mungu awasaidie tu
 
leo nimeenda kwenye hiki chuo ninayoyaona ni aibu sana ,nimeenda kwenye noticeboard yao nikakuta matokeo yamebandikwa kwa majina kabisaa ,hizo G.P.Asasa ni hatari ni mafirst class na maupper second tu nimeamini hiki ni chuo cha kata,

Huyu kichaa mpigamsuli wa wapi huyu? Maana haeleweki ukichek post zake zinachanganya sana, yaan ni kama akili hana vilevile kichaaa pia hana loh!,
 
Huyu kichaa mpigamsuli wa wapi huyu? Maana haeleweki ukichek post zake zinachanganya sana, yaan ni kama akili hana vilevile kichaaa pia hana loh!,
Huyu jamaa mara anasema kachaguliwa Mkwawa mara Mwenge sijui wa wapi??
 
degree ya education ya mwenge ni sawa na mwanafunzi wa form six tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…