Mwenge wa Uhuru 2026 Wazindua Miradi ya Sh2.24 Trilioni

Mwenge wa Uhuru 2026 Wazindua Miradi ya Sh2.24 Trilioni

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Jumla ya miradi 1,337 yenye thamani ya zaidi ya Sh2.24 trilioni ilizinduliwa au kuwekwa misingi wakati wa Mwenge wa Uhuru 2026. Miradi hiyo inahusisha afya, maji, barabara, viwanda, kilimo na uwezeshaji wa vijana, ikilenga kuongeza huduma na fursa za kiuchumi katika maeneo mbalimbali nchini.
IMG-20261015-WA0019.jpg
 
Hiyo ni biashara kichaa,
Kukimbiza huo 🔥 wa uchawi nchi nzima kunagharimu zaidi ya 800 Bil ambazo zingeweza kutumika kwa mambo ya maana.

Pili, mikesha ya huo moto ni chanzo na kichocheo kikubwa cha maambukizi ya VVU
 
Back
Top Bottom