Mwenge wa Uhuru: Alama ya Uzalendo

Mwenge wa Uhuru: Alama ya Uzalendo

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
 
Tunajivunia Mwenge uliopandushwa juu kabisa ya Mlima Kilimanjaro tarehe 09.12. 1961
 
Mwenge utakimbizwa nchi nzima siku takribani 190
 
Mbio za mwenge ni njia bora zaidi ya kueneza maambukizi ya ukimwi na kupiga pesa kiulaoni.
 
Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
MWENGE wenye ALAMA ya UPENDO ulikuwa wa NYERERE Mwenge huu wa Sasa ni Wa CHUKI VISASI na KUBAMBIKIANA KESI hauna UPENDO kabisa Miongoni mwa WANANCHI
 
Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi

Huo ni ushirikina boss, ni baadhi ya matambiko machafu waliyoweka ccm kwenye nchi hii ili wapumbaze watu na kuendelea kuwatala kwa shuruti.
 
Pamoja na hayo imetoka amri kuwa alama ya mwenge iondolewe pale kwenye daraja la tanzanite iwekwe alama ya jiwe la tanzanite.
 
Huo ni ushirikina boss, ni baadhi ya matambiko machafu waliyoweka ccm kwenye nchi hii ili wapumbaze watu na kuendelea kuwatala kwa shuruti.
Wewe upo nchi jirani?
 
Back
Top Bottom