Mwenge wa Uhuru: Alama ya Uzalendo

Mwenge wa Uhuru: Alama ya Uzalendo

Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
UZALENDO NI PAMOJA NA KUIHESHIMU KATIKA TULIYOAPA KUILINDA NA KUITETEA
LEO TUNA WABUNGE WASIO NA CHAMA KINYUME NA KATIBA TUNAWALIPA MISHAHARA NA POSHO
Hakuna UZALENDO hapo kwa Wahusika
 
Alama yetu ya Kujenga Umoja
 
Back
Top Bottom