OriginaLLY, hiyo dhana ya mwenge ilikuwa nzuri sana, na kweli tuliokuwa tunasikia sikia enzi hizo ilikuwa inatuamshia uzalendo wa hali ya juu sana, hadi mtu unaona nchi hii kama ni mali yako binafsi. Lakini kwasasa nasema tu kwamba, wacha wauzime, huenda hela ya Msafara wake na ya Mafuta ikatumika kwa kazi zingine, hata kununua dawa za kutibu watu japo 100 tu mahospitalini.Hakuna faida ya Mwenge zaidi ya KUENEZA UKIMWI!...puuuuuh!