MWENGE wa UHURU leo umezimwa

MWENGE wa UHURU leo umezimwa

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
MWENGE+PIX+NO+1.JPG

Naam,

leo mwenge wa uhuru unaomulika hadi nje ya mipaka yetu. Unaleta Upendo pale penye chuki na heshima pale penye dharau.

Kidumu cham cha Mapinduzi na fikra za mwasisi wa taifa letu baba wa Taifa MJKN!!
 
OriginaLLY, hiyo dhana ya mwenge ilikuwa nzuri sana, na kweli tuliokuwa tunasikia sikia enzi hizo ilikuwa inatuamshia uzalendo wa hali ya juu sana, hadi mtu unaona nchi hii kama ni mali yako binafsi. Lakini kwasasa nasema tu kwamba, wacha wauzime, huenda hela ya Msafara wake na ya Mafuta ikatumika kwa kazi zingine, hata kununua dawa za kutibu watu japo 100 tu mahospitalini.Hakuna faida ya Mwenge zaidi ya KUENEZA UKIMWI!...puuuuuh!
 
Back
Top Bottom