Mwenge wa Uhuru ndani ya Rasmu ya katiba mpya

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Dhumuni hasa la mwenge wa Uhuru ilikuwa ni kulinda Amani ndani na nje ya mipaka yetu, Kuleta matumaini kwa watu walio kata tamaa, Upatanishi penye mfarakano, heshima pale palipojaa dharau. Pia kumulika aina zote za ufisadi (wizi wa mali za umma); rushwa, uzururaji, madawa ya kulevya, utapeli na mambo yate maovu ndani ya jamii,

Leo hii mwenge huu umekuwa ukizunguka tanzania nzima kama KItoy, Je kwenye rasmu yetu nimepitia sijaona sehemu imeongelea hizi Ngao za taifa. tujadili kama tunahitaji Mwenge uwemo ndani ya katiba yetu mpya au la
 
kwa hali ya uchumi wa sasa mwenge unapaswa uwekwe makumbusho ila tu tuwe tunaadhimisha kwa kuupandisha kilele cha mlima k'njaro kila 9dec.hilo fungu la kukimbizia mwenge kama lingenunua madawati kwa kila mwaka au lingeongezwa katika bajet ya kuajiri walimu mbona tungekuwa mbali?hiki ni kigezo tu cha watu kupiga hela
 
Back
Top Bottom