Dhumuni hasa la mwenge wa Uhuru ilikuwa ni kulinda Amani ndani na nje ya mipaka yetu, Kuleta matumaini kwa watu walio kata tamaa, Upatanishi penye mfarakano, heshima pale palipojaa dharau. Pia kumulika aina zote za ufisadi (wizi wa mali za umma); rushwa, uzururaji, madawa ya kulevya, utapeli na mambo yate maovu ndani ya jamii,
Leo hii mwenge huu umekuwa ukizunguka tanzania nzima kama KItoy, Je kwenye rasmu yetu nimepitia sijaona sehemu imeongelea hizi Ngao za taifa. tujadili kama tunahitaji Mwenge uwemo ndani ya katiba yetu mpya au la