Mwenge wa uhuru utafutiwe nishati mbadala ya kuuwezesha kuwaka badala ya kutumia mafuta ya taa na utambi unaotoa moshi

Naunga mkono hoja,lakini pia upangiwe Bajeti yake sio kucha Naunga mkono hoja, lakini pia utafutiwe Bajeti yake badala ya kuchangisha Watumishi maskini wa Umma.
 
Kama tunavyofanya jitihada za kuzuia matumizi ya kuni na mkaa kwa kupikia, vivyo hivyo tujitahidi kubuni njia mbadala ya kuufanya mwenge wa uhuru uweze kutoa mwanga. Vijana wanateseka sana na moshi

Miaka tunasoma, ilikuwa kila mwaka kuna shilingi 1 ya mchango wa mafuta ya mwenge...
 
Mwenge una faida gani?
una faida ya kutukumbusha miiko na na maadili yetu kama taifa kwakuwa hautukumbushi tena ni amma tuuzime au turejee maandiko yake. manzie mangochie DC wa zamani wa chatto yupo wapi kwa sasa. huyu aliutumia mwenge kuweka watumishi ndani akijitapa kwamba membe ni raisi ajaye akiwaita wengine marofa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…