Mwenge wa Uhuru wafikishwa kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro, waimba Wimbo wa Taifa

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
 
Picha linaanza baadhi yao hawajui kuimba wimbo wa taifa hapo😂😂🤣 watakuwa wanajua maana/umuhimu wa zoezi hilo kweli?

Usiniulize mimi, mi mwenyewe sijui!
 
Tunawapongeza wote waliofanikisha zoezi hilo.

Mungu atubariki sote.
 

Laana tupu juu ya nchi.
 
Hongera nyingi sana kwa makamanda wetu. Tunajivunia jeshi letu.
 
Mbeba Nuru ( Lusifa ) == Statue of Liberty== Mwenge wa Uhuru....
Hatupo huru...Nchi ya wafungwa.

Ongereni Washirikina wa Taifa.
Endeleeni kuturoga ila ndani hapata kalika vyema.
 
Hivi hili tukio hufanyika Kila Mwaka ama ni Mwaka huu pekee wameamua kwenda kuzimia Mlima Kilimanjaro?

By the way, Kila la heri Mama Tanzania 👊
Siku tupate rais Ambae ataacha haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…