The Giant
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 504
- 96
Nilienda ABC bank kuwauliza kama nawezafanya online transanctions kupitia akaunt ya ABC bank, wakaniambia ndio naweza na kad zao znakubalika popote pale duniani. Sasa tatzo linapokuja kwa hiz bank, muda mwingne wanashindwa kuwa wawazi kwa wateja wao. UBA waliniambia wana huduma hyo ya online shopping, ila baada ya kufungua akaunti kwao nikaambiwa wapo kwenye mchakato wa kukamilisha, mpaka baada ya mwaka mzma kimya, nika achana nao.
Kwa sasa, natumia Debit Mastercard ya CRDB ila charges zao ni kubwa kiasi(internet banking & e-card banking) compared na ABC bank ambao hawakucharge chochote. Na mbaya zaidi huwezi withdraw money from your paypal account to your bank account.
Sasa, kwa yeyote ambae anatumia ABC Bank kwa ajili ya Online shopping or related issue, naomba anisaidie hv;
1) Je, ni kweli unaweza fanya shopping online kwa hyo card?
2) Umeweza ku'link card yako kwenye akaunti yako ya Paypal na kupata refund ya $1.99 toka paypal?
3) Ulishawah tumiwa hela kupitia paypal account, na ukazitoa kwenye akaunti yako ya ABC bank?
I look forward to hear from your!!!