Mwenye Akaunti ABC Bank for Online Transactions

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Nilienda ABC bank kuwauliza kama nawezafanya online transanctions kupitia akaunt ya ABC bank, wakaniambia ndio naweza na kad zao znakubalika popote pale duniani. Sasa tatzo linapokuja kwa hiz bank, muda mwingne wanashindwa kuwa wawazi kwa wateja wao. UBA waliniambia wana huduma hyo ya online shopping, ila baada ya kufungua akaunti kwao nikaambiwa wapo kwenye mchakato wa kukamilisha, mpaka baada ya mwaka mzma kimya, nika achana nao.
Kwa sasa, natumia Debit Mastercard ya CRDB ila charges zao ni kubwa kiasi(internet banking & e-card banking) compared na ABC bank ambao hawakucharge chochote. Na mbaya zaidi huwezi withdraw money from your paypal account to your bank account.

Sasa, kwa yeyote ambae anatumia ABC Bank kwa ajili ya Online shopping or related issue, naomba anisaidie hv;
1) Je, ni kweli unaweza fanya shopping online kwa hyo card?
2) Umeweza ku'link card yako kwenye akaunti yako ya Paypal na kupata refund ya $1.99 toka paypal?
3) Ulishawah tumiwa hela kupitia paypal account, na ukazitoa kwenye akaunti yako ya ABC bank?

I look forward to hear from your!!!
 
ku-withdrwal money from paypal haiwezekani kwa TANZANIA na wala sio sababu kadi ni crdb au nbc ,

natumia crdb muda mrefu tu na wala charge zao sio kubwa kama unavyosema, online transaction ni buree kabisaa,

na kama ni akaunti ya $ crdb wanakata only 2.5$ kwa mwezi, sio pesa mingi kama unaitumia kibiashara na kwa transactions za mara kwa mara ambazo ni faida kwako.

internet banking yao ndio magumashi wanakata buku kwa mwezi lakini haifanyi kazi kabisaa hiyo huduma ni kama wameiweka kama pambo tu,

vilevile jua tofauti ya internet banking na online transaction ni vitu viwili tofauti,

sijawahi tumia abc alikuja kunishawish lakini bado sijafungua akaunti kwao, sababu sikuona umuhimu
 
mi natumia hiyo visa card ya banc ABC kwa muda sasa, natumia kufanya maipo mbaimbali online
1. ndio inawezekana kulink na paypal na kisha unakwenda kuchukua code bank inaiverify wanakurudishia hela yako waliyokukata.
2. gharama zao sio kubwa ila ukijaribu kufanya malipo ambayo yanazidi hela uliyonayo wanakukata dola moja. na ukiendelea kurudirudia wanakukata mpaka unakuwa na deni(imewahi kunitokea hii)
3. uzuri wa hii banc ABC ni kwamba unaweza hamisha pesa toka mpesa na kuweka kwenye card yako kisha baada ya masaa 24 ukafanya malipo yako online hivyo haikulazimu kwenda benk kuweka.
 
Nimekuelewa Mkuu ila wanachozingua CRDB ni internet banking ambayo wananikata 1000 kila mwezi but no service. Ni mwezi wa 4 huu nakatwa hela ila akaunti yangu ipo inactive (naambiwa "Your account has been locked, contact your bank for new credentials". Nilienda Lumumba branch, wakaniambia niende nilipofungulia Dodoma, Dodoma nikawacheki, ila no feedback mpaka leo. Ndo bank zetu hizi.
 
mi natumia hiyo visa card ya banc ABC kwa muda sasa, natumia kufanya maipo mbaimbali online
1. ndio inawezekana kulink na paypal na kisha unakwenda kuchukua code bank inaiverify wanakurudishia hela yako waliyokukata.
2. gharama zao sio kubwa ila ukijaribu kufanya malipo ambayo yanazidi hela uliyonayo wanakukata dola moja. na ukiendelea kurudirudia wanakukata mpaka unakuwa na deni(imewahi kunitokea hii)
3. uzuri wa hii banc ABC ni kwamba unaweza hamisha pesa toka mpesa na kuweka kwenye card yako kisha baada ya masaa 24 ukafanya malipo yako online hivyo haikulazimu kwenda benk kuweka.

Thanks for the feedback, kama wariku'refund bas unaweza uka'withdraw. Ngoja ntakutafuta mkuu.
 
jamani naombeni msaada hiii benki ofice zake yaani makao makuu yapo wapi kwa dar kwani walimuunganisha sister wangu kwa mpesa akalipia na sasa hivi hana mawasiliano nao mwenye kujua hawa watu office zao na contract zao anisaidie me nilizani ni matapeli
 
Wapo Quality Centre, Sigara, Pugu Rd. Wapo K/koo, maeneo ya Fire, Karibu na DTB Bank.
 
ila gharama za paypal zinabadilika kuanzia 10 Sept so soma vizuri T&C zao ili usijeshangaa..
 
ku-withdrwal money from paypal haiwezekani kwa TANZANIA na wala sio sababu kadi ni crdb au nbc ,

natumia crdb muda mrefu tu na wala charge zao sio kubwa kama unavyosema, online transaction ni buree kabisaa,

na kama ni akaunti ya $ crdb wanakata only 2.5$ kwa mwezi, sio pesa mingi kama unaitumia kibiashara na kwa transactions za mara kwa mara ambazo ni faida kwako.

internet banking yao ndio magumashi wanakata buku kwa mwezi lakini haifanyi kazi kabisaa hiyo huduma ni kama wameiweka kama pambo tu,

vilevile jua tofauti ya internet banking na online transaction ni vitu viwili tofauti,

sijawahi tumia abc alikuja kunishawish lakini bado sijafungua akaunti kwao, sababu sikuona umuhimu

Mkuu Mimi ninayo kadi ya bank ABC japokuwa nimesahau password..kadi Yao walinipa uwanja wa taifa mwaka Jana...una namba zao za customer service?
 
Thanks Ndetichia kw kunikumbusha, paypal walintumia Email yao ya updates kuhusu T&C ila ntaichek tu!
 
ku-withdrwal money from paypal haiwezekani kwa TANZANIA na wala sio sababu kadi ni crdb au nbc ,

natumia crdb muda mrefu tu na wala charge zao sio kubwa kama unavyosema, online transaction ni buree kabisaa,

na kama ni akaunti ya $ crdb wanakata only 2.5$ kwa mwezi, sio pesa mingi kama unaitumia kibiashara na kwa transactions za mara kwa mara ambazo ni faida kwako.

internet banking yao ndio magumashi wanakata buku kwa mwezi lakini haifanyi kazi kabisaa hiyo huduma ni kama wameiweka kama pambo tu,

vilevile jua tofauti ya internet banking na online transaction ni vitu viwili tofauti,

sijawahi tumia abc alikuja kunishawish lakini bado sijafungua akaunti kwao, sababu sikuona umuhi

ku-withdrwal money from paypal haiwezekani kwa TANZANIA na wala sio sababu kadi ni crdb au nbc ,

natumia crdb muda mrefu tu na wala charge zao sio kubwa kama unavyosema, online transaction ni buree kabisaa,

na kama ni akaunti ya $ crdb wanakata only 2.5$ kwa mwezi, sio pesa mingi kama unaitumia kibiashara na kwa transactions za mara kwa mara ambazo ni faida kwako.

internet banking yao ndio magumashi wanakata buku kwa mwezi lakini haifanyi kazi kabisaa hiyo huduma ni kama wameiweka kama pambo tu,

vilevile jua tofauti ya internet banking na online transaction ni vitu viwili tofauti,

sijawahi tumia abc alikuja kunishawish lakini bado sijafungua akaunti kwao, sababu sikuona umuhimu
Samahani naomba kujua tofauti kati ya internet banking na online banking ?
 
Back
Top Bottom