Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
KICHWA KINAJIELEZA WIMBO UNAIMBA HV
Nampenda niko serius hata mama anajuaa ila shida mapozi ananenguaa, kuna muda nawaza labda ni utoto hajakuaa+
NAUHITAJI SANA
Kwa mwenye kujua aniwekee link ya audio, au jina la msanii niu dowload
Ni singeli nzuli sana naona challenge mitandaoni tu,