Hypersonic WMD JF-Expert Member Joined Apr 11, 2024 Posts 1,337 Reaction score 1,876 Nov 19, 2024 #1 Naonaga kama hiki kilimo ni hatar kutokana na kua papai inaharibika haraka . Na pia haina matumizi mengi kama vile juice, au kuliwa mara nyingi ukilinganisha na matunda mengine soko lake likoje,,? Hayaozei shambani kweli
Naonaga kama hiki kilimo ni hatar kutokana na kua papai inaharibika haraka . Na pia haina matumizi mengi kama vile juice, au kuliwa mara nyingi ukilinganisha na matunda mengine soko lake likoje,,? Hayaozei shambani kweli
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Nov 19, 2024 #2 Mapapai yanaoza haraka Ni risk sna
Hypersonic WMD JF-Expert Member Joined Apr 11, 2024 Posts 1,337 Reaction score 1,876 Nov 19, 2024 Thread starter #3 ngara23 said: Mapapai yanaoza haraka Ni risk sna Click to expand... hiyonndo huwa naiona
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Nov 19, 2024 #4 Mbona tunakutananayo yanauzwa na tunanunua yakiwi mazima kisha tunakuka na tunapata ladha halisi ya papai.
Mbona tunakutananayo yanauzwa na tunanunua yakiwi mazima kisha tunakuka na tunapata ladha halisi ya papai.
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Nov 21, 2024 #5 Hayo ndiyo mazuri kwa kulainisha choo
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 5,651 Reaction score 6,966 Nov 22, 2024 #6 ngara23 said: Mapapai yanaoza haraka Ni risk sna Click to expand... Kama wewe unalima acha kuuza bei ya rejareja. Ukiuza bei ya shamba hitopata hasara.
ngara23 said: Mapapai yanaoza haraka Ni risk sna Click to expand... Kama wewe unalima acha kuuza bei ya rejareja. Ukiuza bei ya shamba hitopata hasara.