Mwenye anamjua huyu manzi

Mwenye anamjua huyu manzi

alexjosephat

Member
Joined
Feb 8, 2020
Posts
31
Reaction score
32
Hi
 
Attachments

  • IMG-20210219-WA0030.jpg
    IMG-20210219-WA0030.jpg
    72.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_16143240458050079.jpg
    FB_IMG_16143240458050079.jpg
    35.3 KB · Views: 3
Inawezekana tunamfaham ila ikawa ngumu kukupa ushirikiano.

Jimwambafai kwanza tupime una nia gani?
 
Kama unamjua huyu au umewahi kumuona sehemu tuambizane maana kuna mtu katuma na yakutolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko Tanzania
Anaweza kutuma mpka ya kutolea alafu akakutana na mtu atakayempa mara 10 ya alichotuma some time tujuege kuwa siyo kila mwanamke aliyepo mtandaoni anajiuza
 
Kama unamjua huyu au umewahi kumuona sehemu tuambizane maana kuna mtu katuma na yakutolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko Tanzania

Nataka ajue ukwel make huyu kaambiwa huyo manzi anaishi mwanza af mwambA alotuma na yakutolea anaishi msumbiji [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona yupo viwango vya amateur hata mwajuma ndala ndefu anamzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kuna anae mjua huyu manzi maana tangia jana nimemsibili ubungo hapa hatokei anasema nakuja anatokea singida yani nshaangaika kwel yan au nimeingia cha kike maana nimetuma na yajutolea[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857] kama sio wa bongo niambie nikaendekee kuzibua zangu vyoo + mitaro tujuzane
VXR-V8 lazima uwe nalo, vinginevyo mali sio yako.utakua mshika pembe
 
Nimefanya naye kazi supermarket ya Target. Alikua anakaa Mabibo sijui kama bado yupo huko, supermarket ilielekea kufilisika tukapigwa chini baadhi yeye alibaki.

Kamuulizie.
 
Nimefanya naye kazi supermarket ya Target. Alikua anakaa Mabibo sijui kama bado yupo huko, supermarket ilielekea kufilisika tukapigwa chini baadhi yeye alibaki.

Kamuulizie.
Wewe kwel au
 
Back
Top Bottom