Mwenye anamjua huyu manzi

Inawezekana tunamfaham ila ikawa ngumu kukupa ushirikiano.

Jimwambafai kwanza tupime una nia gani?
 
Kama unamjua huyu au umewahi kumuona sehemu tuambizane maana kuna mtu katuma na yakutolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko Tanzania
Anaweza kutuma mpka ya kutolea alafu akakutana na mtu atakayempa mara 10 ya alichotuma some time tujuege kuwa siyo kila mwanamke aliyepo mtandaoni anajiuza
 
Mbona yupo viwango vya amateur hata mwajuma ndala ndefu anamzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameruhusu picha zitumwe humu maana mihemko huwa sio mizuri
 
VXR-V8 lazima uwe nalo, vinginevyo mali sio yako.utakua mshika pembe
 
Nimefanya naye kazi supermarket ya Target. Alikua anakaa Mabibo sijui kama bado yupo huko, supermarket ilielekea kufilisika tukapigwa chini baadhi yeye alibaki.

Kamuulizie.
 
Nimefanya naye kazi supermarket ya Target. Alikua anakaa Mabibo sijui kama bado yupo huko, supermarket ilielekea kufilisika tukapigwa chini baadhi yeye alibaki.

Kamuulizie.
Wewe kwel au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…