mwenye BBA general anaweza kufanya mitihani ya bodi ya manunuzi kuanzia level gani ?

beneli

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
86
Reaction score
7
Wadau, naomba msaada wenu kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu bodi ya ugavi na manunuzi (psptb), kwa mtu mwenye diploma ya manunuzi na anayesoma Business Administration General (NTA level 8) je atawezaje kufanya mitihani ya bodi kwa mda mfupi kadri inavyowezekana ili ndan ya miaka minne ama mitatu ijayo awe amepata qualification ya level 5 ya psptb.? Msaada wenu ni wa muhimu sana kwangu, tafadhali.
 
nilifikiri nbaa kumbe huko.mm mi huko si mtaalam,labda nbaa ndo home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…