beneli
Member
- May 1, 2013
- 86
- 7
Wadau, naomba msaada wenu kwa wale wenye ufahamu wa kutosha kuhusu bodi ya ugavi na manunuzi (psptb), kwa mtu mwenye diploma ya manunuzi na anayesoma Business Administration General (NTA level 8) je atawezaje kufanya mitihani ya bodi kwa mda mfupi kadri inavyowezekana ili ndan ya miaka minne ama mitatu ijayo awe amepata qualification ya level 5 ya psptb.? Msaada wenu ni wa muhimu sana kwangu, tafadhali.