Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia.." Mithali 22:3 SUV

Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia.." Mithali 22:3 SUV

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Ni andiko kutoka katika Biblia takatifu - Neno la Mungu [kwa Wakristo] ambalo ndilo lililobeba maudhui yote ya ujumbe wa Askofu Josephat Gwajima leo ktk PC yake..

Huu ni Upanga wa Roho uliokata na kucharanga kila kilicho cha mwana yule wa kuasi na wafuasi wake...

Acha wajinga wachache waendelee mbele, wakaumie kwa ajili ya wokovu wa wengi...

Mungu Yehova ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanganyika..

Freedom is coming. Freedom is now...

#NoReformsNoElection
#FreeTunduLissuNow
#WhereIsMdudeNyagali
 
Back
Top Bottom